MAMA MZAZI ARUHUSU MTOTO WAKE WA MIEZI MINNE ABAKWE NA MPENZI WAKE
Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Hii inaweza kuwa habari ya kushangaza sana baada ya mwanamke mmoja Jessica Lynn kuhukumiwa jela miaka 25 baada ya kumruhusu mpenzi wake kumbaka mwanaye wa miezi minne.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi katika mji wa Missouri, Marekani walisema mwanaume huyo Jordan Lafayette Prince aliwahi kuhukumiwa na makosa ya udhalilishaji kwa wanawake na sasa amehukumiwa kwa makosa ya kuua na kubaka kwa kukusudia.
Kwa
upande wa mama wa mtoto huyo Jessica, yeye amehukumiwa jela miaka 25
baada ya kutoa ruhusa kwa mwanaume huyo kufanya vitendo hivyo tangu
mtoto huyo alipokua na wiki nne hadi alipofikisha miezi minne ambapo
alifariki kutokana na kuwa na maumivu ya ndani ya mwili.
“Wakati
anambaka mtuhumiwa alikua akimpiga mtoto huyo wakati akiwa analia na
kumsababishia maumivu ya ndani ambayo yalichangia kifo cha mtoto huyo” walisema Polisi
0 comments: