SUZY AKATAA KUITWA BONGO MOVIE! ETI KISA HICHI HAPA


Msanii anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ akipozi.
MSANII anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kutokana na migogoro mbalimbali iliyokuwepo ndani ya Kundi la Bongo Movie, hata akipita njiani akiitwa kwa kutumia jina hilo hatogeuka.
Suzy alisema kutokana na ‘majanga’ kuwa mengi kundini, imefika hatua anaona hata aibu kujitambulisha kuwa yeye ni msanii kutoka Kundi la Bongo Movies. 
“Kweli kabisa, mimi nikiitwa tu msanii wa Bongo Movie nikiwa napita njiani, sigeuki ng’o wataita mpaka wachoke kabisa, hali ni mbaya Bongo Movie

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//